
‘DERBY’ YA MZIZIMA KATI YA SIMBA DHIDI YA AZAM KUPIGWA JUMATATU KWA MKAPA
Mchezo wa ‘Derby’ ya Mzizima kati ya Simba Sc dhidi ya Azam utakayopigwa Jumatatu Februari 24, 2025 umehamishwa kutoka uwanja wa KMC Complex, Mwenge sasa utapigwa Katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Chang’ombe Taarifa ya leo Februari 22, 2025 iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa majira ya saa 1:00…