
YANGA KAMILI KUIKABILI FOUNTAIN GATE
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kamili kuwakabili wapinzani wao Fountain Gate kuelekea mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025. Tayari kikosi hicho kimesepa Bongo kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Manyara na mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko…