
SIMBA YAISHUSHA YANGA NAMBA MOJA
IKIWA Uwanja wa KMC Complex Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa pili. Ukurasa wa mabao kwa Simba ulifunguliwa na Jean Ahoua dakika ya 29 anafikisha mabao 8 ndani ya ligi na bao la pili lilifungwa na Ellie Mpanzu dakika ya 44 likiwa…