
BEKI HUYU ATAJWA KWENYE RADA ZA SIMBA
BEKI wa kazi Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo ambao ni Simba. Chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kikosi cha Simba kimeruhusu mabao sita yakufungwa na katika hayo mawili wachezaji wa timu hiyo walijifunga, Ladack…