
CHUMA HIKI HAPA KINAFUATA KUTAMBULISHWA YANGA
INAELEZWA kuwa nyota anayefuatwa kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga ni beki wa kazi mzawa Dickosn Job. Nyota huyo mkataba wake unakaribia kufika ukingoni ambapo mwisho wa msimu huu utakuwa umegota mwisho. Habari zinaeleza kuwa tayari viongozi wa Yanga pamoja na wale ambao wanamsimamia Job wamefanya mazungumzo na kufika kwenye maelewano mazuri. Job ni chaguo…