
MIKOBA YA LAVAGNE MIKONONI MWA ONGALA
KALI Ongala kocha wa washambuliaji Azam FC na Agrey Morris kocha mchezaji wamekabidhiwa timu hiyo kwa sasa kuelekea maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Ni Dennis Lavagne alikuwa kocha wa timu hiyo wamefikia makubaliano ya kuachana naye kwa kile kilichoelezwa kuwa hajafikia malengo ambayo walikuwa wamekubaliana. Ofisa Habari wa Azam FC,…