
MORROCO YAWEKA REKODI, URENO KAZI IMEISHA
MOROCCO inakuwa timu ya kwanza kutoka bara la Afrika kukata tiketi ya kufuzu hatua ya nusu Fainali kwenye Kombe la Dunia baada ya kupata ushindi mbele ya Timu ya Taifa ya Ureno. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata kwenye mchezo huko kupitia kwa mshambuliaji wao Youssef En-Nesyri kwa pigo la kichwa dakika ya 42…