
KOCHA SIMBA AWAAMBIA WASAJILI KIUNGO
ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu, basi ni lazima wahakikishe wanavunja benki kwenye dirisha dogo la usajili na kuongeza angalau kiungo mchezeshaji mmoja mwenye uwezo mkubwa. Zrane, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes na aliyekuwa kocha wa makipa, Milton Nienov Oktoba 26, mwaka huu…