
POLISI TANZANIA 0-2 SIMBA
WAKIWA Uwanja wa Ushirika Moshi, ubao unasoma Polisi Tanzania 0-2 Simba mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ni mabao ya dakika ya 32 kupitia kwa John Bocco na lile la pili ni mali ya Moses Phiri ambaye amefunga dakika ya 43. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo dakika 30 za mwanzo ilikuwa kila timu inafanya…