
SIMBA KAMILI KUWAVAA WAARABU KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba wameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao wa hatua ya makundi dhidi ya wapinzani wao SC Sfaxine utakaopigwa nchini Tunisia. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo waliokutana Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 Simba walishinda kwa mabao 2-1 na mtupiaji alikuwa mkandaji Kibu Dennis ambaye yupo…