
ORODHA YA MASTAA 24 WA AZAM FC WATAKAOIBUKIA DODOMA
MSAFARA wa nyota 24 wanaokipiga ndani ya Azam FC leo Februari 3,2023 umeanza safari kuelekea Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 4,2023 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na wametumia usafiri wa ndege ya Air Tanzania. Mastaa hao ni hawa hapa:-1. Ali Ahamada 2. Iddrisu…