
YANGA WAWAPIGISHA KWATA WAJELAJELA
MOJA ya mchezo bora uliokamilika kwa Yanga kuitungua Tanzania Prisons dakika ya 89 bao 1-0 Uwanja wa Mkapa. Prisons ambao wnanolewa na Patrick Odhiambo nidhamu ya kujilinda ilikuwa kubwa dakika 45 za mwanzo huku umakini kwenye safu ya ushambuliaji ukiwa ni mdogo kwao. Pongezi kwa kipa wa Prisons Abel ambaye umakini wake kwenye kulinda lango…