
AZAM FC WAELEKEZA NGUVU HUKU
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa unawekeza nguvu zao zote kwenye Ligi Kuu Bara na Kombe la Azam Sports Federation ambalo wanashiriki. Timu hiyo ilienguliwa kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 kwa kugotea hatua ya nusu fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Amaan kusoma Azam FC 1-4 Singida Big Stars, Januari 8….