HIVI NDIVYO CHAMA ALIVYOKWAMA SIMBA

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekwama mazima ndani ya Simba kuifikia rekodi yake ya kuwa namba moja katika kutengeneza pasi za mwisho ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba Chama raia wa Zambia msimu wa 2022/23 alikuwa ni namba moja kwa wakali wa pasi za mwisho alipotoa jumla ya pasi 14 na kufunga…

Read More

YANGA KUJA NA JAMBO HILI KUBWA

JAMBO lingine kubwa linakuja kutoka kwa Yanga mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 wakidhaminiwa na kampuni ya SportPesa. Jambo hilo ni uzinduzi wa kitabu cha Yanga kinachotarajiwa kuzinduliwa Jumamosi Juni 15 uongozi wa Yanga umebainisha kwamba umekusanya mengi ya muhimu bila kuacha chochote. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2023/24 Yanga imetwaa taji…

Read More

MTAMBO WA KUVUNJA REKODI BONGO AZIZ KI

MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…

Read More

JEMBE AZUNGUMZIA MKATABA WA JOBE NA MANGUNGU KUSAJILI

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi kuwa ikiwa Mangungu ataachiwa suala la usajili inaweza kuwa ni mzigo mzito zaidi kwake akibainisha kwamba kwa sasa Simba wanahitaji marekebisho ya timu yao na wapunguze maneno mengi zaidi wafanye kazi kwa ushirikiano zaidi. Ameweka wazi kuwa kati ya timu ambayo imeongoza kwa…

Read More

LIVE BUNGENI: WAZIRI MWGULU ANAWASILISHA MAKADIRIO NA MATUMIZI YA BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/2025

Serikali imesema bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imelenga kutekeleza vipaumbele vitakavyojikita katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu” pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2024/25. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyataja maeneo ya vipaumbele yaliyoainishwa katika mpango huo kuwa ni pamoja na…

Read More

JUVENTUS YAMTEUA THIAGO MOTTA KUWA KOCHA MPYA

Klabu ya Juventus ya Serie A imethibitisha kumteua mkufunzi Thiago Motta kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027. “Ninayo furaha kuanza ukurasa huu mpya katika klabu bora kama Juventus, asante kwa imani yenu na ninaweza kuhakikisha nitajitolea kuwafanya mashabiki wa Juventus wajivunie”. — Mota Mota (41) raia wa Italia…

Read More

MANGUNGU: MO DEWJI NI MWANASIMBA JASIRI

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine, “Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo…

Read More