
PIRA HILI KUTOKA YANGA RUVU KUKUTANA NALO
WAKATI Simba wakitamba kupiga pira Dubai kutokana na kambi yao ya wiki moja waliyoweka huko, vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga wametamba kuwapigia pira popcon wapinzani wao Ruvu Shooting. Leo Uwanja wa Mkapa, Yanga watawakaribisha Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Yanga ilishinda kwa…