ARSENAL WAMEANZA KWA KASI
WAMEANZA kwa kujiamini washika bunduki Arsenal mbele ya wapinzani wao Manchester City. Ni katika mchezo wa Ngao ya Jamii walifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi wa penalti 4-1. Kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa walitoshana nguvu kwa kifungana bao 1-1. Ilibaki kidogo wapishane na taji hilo kwani walisubiri hadi dakika ya 90+11 kusawazisha…