


CHEZA MERIDIANBET KASINO USHINDE TSH 2,500,000/=
Shindano hili linakuletea furaha na zawadi bomba kutoka kwa Mascot na Meridianbet kasino ya mtandaoni! Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi. Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. JUMLA YA ALAMA…

VIDEO:SIMBA YAWACHAMBUA WAARABU WYDAD
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema mchezo wao dhidi ya Wydad ni kubwa na yenye hadhi ya kipekee na ukubwa wa mechi hiyo watu wanataka kumuona mnyama akirejea historia ya kuwavua ubingwa Zamalek

SEVILLA HAO NUSU FAINALI
KLABU ya Sevilla imetinga hatua ya nusu fainali Europa League kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2 Manchester United. Katika mchezo wa robo fainali wa pili wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United uliochezwa Aprili 20. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Youssef En Nesyri ambaye alipachika mawili dakika ya 8,81 na moja…

MUZIKI WA YANGA WAITISHA RIVERS, YANGA YAIPA SIMBA MILIONI 188.9
Kutoka Nigeria….Muziki wa Yanga waitisha Rivers,Yanga yaipa Simba milioni 188.9 ñdani ya Championi Ijumaa

VIDEO”ALLY KAMWE AWACHAMBUA WAPINZANI WAO RIVERS
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amewachambua wapinzani wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambao ni Rivers United. Msafara wa Yanga tayari umeanza safari mapema leo Aprili 20 2023 kuwafuata wapinzani hao Nigeria

CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA
MANCHESTER City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika ya 57. Ni Joshua Kimmich dakika ya 83 alipachika bao katika mchezo huo kwa pigo…

Kampuni ya Meridianbet Yazindua Duka jipya la Ubashiri Vingnguti Relini
Kampuni ya Meridianbet leo hii imefika katika eneo la Vingnguti relini na kuweza kuzindua duka jipya la ubashiri ambalo litawafanya wakazi wa eneo hilo waweze kubashiri kwa urahisi zaidi. Lakini pia wameletewa mashine mpya zenye ubora kutoka Ulaya hayo yote yakiwa na mambo ya Meridianbet. Meridianbet wameona uhitaji mkubwa wa kuzindua maduka karibu kila…

MAYELE, MUSONDA WAPEWA MAAGIZO MAALUM YANGA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema washambuliaji wake ikiwa ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda wanapaswa kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kibindoni wana pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, tofauti ya pointi tano na watani zao wa jadi Simba…

KUKATA UMEME MZAMIRU SAWA LAKINI AFYA MUHIMU
LICHA ya kazi kubwa ambayo aliifanya Mzamiru Yassin kwenye Kariakoo Dabi kuna faulo za hatari alizicheza mtindo wa nge kwa nyota Fiston Mayele. Hakika Mayele kuna wakati aliomba poo na alikasirika kwelikweli kutokana na kuchezewa faulo na kiungo Mzamiru. Ile iliyompa maumivu makubwa ilichezwa dakika ya 46 na Mzamiru wakati akiokoa hatari kuelekea kwenye lango…

YANGA YAWAFUATA RIVERS UNITED, VAR KUHUSIKA
TAYARI wawakilishi wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika wameanza safari kuibukia nchini Nigeria. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Rivers United ya Nigeria ambao ni hatua ya robo fainali. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 23,2023 ambapo mchezo huo baina ya Rivers…

AKILI ZA SIMBA NI KWA WAARABU WYDAD
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari amesema kuwa kwa sasa ambacho wanakifikiria ni ushindi dhidi ya Wydad ambao ni hatua ya robo fainali. Tayari wapinzani hao wamewasili Tanzania Aprili 19 wakiwa kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao utachezwa Uwanja wa Mkapa, Jumamosi. “Hakuna jambo lingine lolote tunaweza kuwaza kwa sasa zaidi ya kumfunga…

YANGA MAFIA, CHAMA BALEKE KIKAANGONI SIMBA
YANGA Mafia yaenda Nigeria na Siri za kutinga nusu fainali,Chama,Baleke kikaangoni Simba

AZAM FC HESABU KWA RUVU SHOOTING
AZAM FC hesabu zao kwa sasa ni mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting ambao unatarajiwa kuchezwa Morogoro. Katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara, Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Kituo kinachofuata ni Aprili 22 ukiwa ni mchezo wa kufunga mwezi kuukaribisa Mei. Kali Ongala, Kocha Mkuu wa Azam…

MANE APIGWA FAINI NDEFU KWELI BAYERN
BAADA ya Sadio Mane kumpiga mchezaji mwenzake wa bayern Munich, Leroy Sane wiki iliyopita nyota huyo amepigwa faini ya pauni 250,000, (Sh.724,445,000). Pia inatajwa kuwa staa huyo raia wa Senegal yupo kwenye hesabu za kuuzwa mwishoni mwa msimu huu. Mane alimchapa ngumi ya mdomo Sane kwenye chumba cha kubadilishia nguo wiki iliyopita kwa madai kuwa…

YANGA KUWAFUATA RIVERS UNITED KAMILIKAMILI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa hatua a robo fainali dhidi ya Rivers United ambao ni wa Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mchezo wa hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya timu hiyo kutinga wakiwa ni vnara wa kundi. Ally Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga…

MGUNDA: BAHATI YAO, YANGA WANGEKULA ZA KUTOSHA
KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, ametamba gemu plani yao ndio imewapa matokeo mazuri ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga akisema kwamba ushindi huo ni mdogo kwani kama washambuliaji wao wangekuwa makini, basi Yanga wangekufa nyingi. Simba juzi ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa…