
TUZO ZA TFF, PRINCE DUBE NDIYE MCHEZAJI BORA MWEZI FEBRUARI
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Prince Mpumelelelo Dube amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC 2924/25 akiwashinda Stephanie Aziz Ki pia wa Yanga Sc na Selemani Bwenzi wa KenGold Fc. Pia, kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kocha wa Yanga Sc, Miloud Hamdi ameshinda…