
YANGA NDANI YA UWANJA WA MKAPA
YANGA ndani ya Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025 kwa ajili ya mchezo wa Kariakoo Dabi ambao umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB). Licha ya taarifa kutolewa na TPLB kuhusu kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambao ni Kariakoo Dabi, wenyeji Yanga wamewasili Uwanja wa Mkapa. Mapema Yanga kupitia…