YANGA YAFUNGUKIA OFA YA MAYELE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umepokea ofa nyingi ambazo zinahitaji huduma ya nyota Fiston Mayele. Mayele wa Yanga mkononi ana tuzo ya ufungaji bora wa ligi baada ya kufunga mabao 17 pia katika Kombe la Shirikisho Afrika ni namba moja kwa utupiaji akiwa na mabao 7. Ana hat trick moja kwenye ligi aliwatungua Singida…

Read More

KIUNGO MNIGERIA YAMEMKUTA SIMBA

VICTOR Ackpan kiungo wa Simba amepewa mkono wa kwa kheri ndani ya kikosi cha Simba. Kiungo huyo raia wa Nigeria yamemkuta masuala ya ‘Thank You’ kama iliyokuwa kwa Augustino Okra raia wa Ghana. Kiungo huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Coastal Union ya pale Tanga inayotumia Uwanja wa Mkwakwani kwa mechi za nyumbani….

Read More

JULIO ATEMBEZA MKWARA WA MAANA

KOCHA Mkuu wa KMC Jamhuri Khiwelo, ‘Julio’ amesema kuwa hana hofu na timu yoyote anafanya kazi kubwa kusuka kikosi kwa ajili ya msimu mpya. Julio amewahi kuifundisha Simba iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo na aliwahi kuingoza timu hiyo kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga. Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 wamekusanya…

Read More

MUDA WA KAZI KWA AJILI YA MSIMU UJAO NI SASA

NYAKATI zinakuja na kupita na sasa ni wakati wa maandalizi ya msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote baada ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga kutangazwa. Ipo wazi kuwa kesi ya ubingwa kwenye kila eneo kuanzia Ligi Kuu Bara, Azam sports Fedaration mpaka suala la tuzo zote zimefungwa. Tumeona namna…

Read More

KOCHA YANGA AWEKA UGUMU HUU

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi ulioanza mazungumzo ambao ulitarajiwa kukutana naye mapema. Mkataba wa Nabi na Kaze ulimalizika Jumatatu hii mara baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la FA kumalizika kwa Yanga kutwaa taji hilo kwa kuwafunga Azam FC bao…

Read More

KIUNGO HUYU WA KAZI MIKONONI MWA SIMBA

MILTON Karisa nyota mwenye miaka 27 anayekipiga ndani ya Vipers ya Uganda anatakiwa kuwa katika hesabu za Simba. Kiungo huyo amewahi kufanya kazi na Robert Oliviera ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ikiwa dili lake litajibu atakuwa miongoni mwa nyota watakaokutana na watani zao wa jadi Yanga kwenye mechi za ushindani. Yanga ni watani za…

Read More

DJUMA SHABAN, BANGALA ISHU YA KUSEPA YANGA IPO HIVI

DJUMA Shaban na Yannic Bangala wanatajwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga. Habari zinaeleza kuwa kuondoka kwa Nasreddine Nabi ndani ya Yanga kwenye benchi la ufundi kunawafanya mastaa wengine kufikiria kuondoka pia. Ipo wazi kuwa Bangala mkataba wake bado unaishi ndani ya Yanga kama ilivyo kwa Djuma mpaka 2024 lakini wanahitaji kuondoka. Djuma ameomba…

Read More

UMAKINI NI MUHIMU KWA SASA

TUNAONA timu zimeanza kuwaacha wachezaj wale ambao walikwama kufanya vizuri ama mikataba yao imegota mwisho hilo ni jambo linalohitaji umakini. Sio wachezaji tu hata benchi la ufundi imekuwa hivyo kama ambavyo wamefanya Yanga, Azam FC na Simba. Mbali na Yanga na Simba tunaamini bado zingine zitafuata kwa kuwa mwanzo wa msimu ni mwanzo wa mipango…

Read More