
MERIDIANBET YAZISHIKA MKONO TIMU 2 ZA MPIRA LEO
Katika kuendelea na juhudi zake za kusaidia maendeleo ya michezo nchini, kampuni ya Meridianbet leo imetoa msaada wa jezi kwa timu ya Rising Star FC na Kamili Gado. Msaada huu ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet kuhamasisha na kukuza michezo, hasa soka, na kutoa fursa kwa wachezaji kuonyesha uwezo wao kwa ufanisi. Timu ya Rising…