
YANGA YAZIPIGIA HESABU TATU ZA KMC
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya KMC dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex benchi la ufundi la Yanga limebainisha kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Februari 14 2025. Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema kuwa wamejeandaa kiakili ili kuhakikisha kwamba wanapata…