
MERIDIANBET YAPANDA MITI MBEZI JUU
Katika kuendelea kuhakikisha kuwa mazingira yanazidi kuwa bora zaidi, Meridianbet iliamua kurejesha kwa namna ya pekee ambapo safari hii wameamua kupanda miti Mbezi Juu. Meridianbet, kampuni inayoongoza katika sekta ya kubashiri na michezo, imeendelea kuonyesha uwajibikaji wake kwa jamii kwa kuanzisha na kuongoza zoezi la upandaji miti katika Kata ya Mbezi Juu, Dar es Salaam….