
SINGIDA BIG DAY HAWANA JAMBO DOGO/ JIBU LA MORRISON NA KAKOLANYA
MCHEZA kwao hutuzwa ipo hivyo na Singida Fountain Gate watakuwa nyumbani kuwapa burudani mashabiki wao ikiwa ni mwanzo kuelekea msimu mpya. Agosti 2, 2023 ni sikukuu ya wakulima wa alizeti Singida Fountain Gate kwenye Uwanja wa Liti ikiwa ni Singida Big Day hii itakuwa sio ya mchezomchezo. Hapa tunakuletea namna mipango inavyokwenda Singida Fountain Gate:-…