
WINGA MPYA ATUMIWA TIKETI YA NDEGE NA MABOSI YANGA
FUJO za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli. Nzengeli ni kati ya wachezaji ambao walikuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Winga huyo…