
HIZI HAPA REKODI ZA STELLENBOSCH 0-0 SIMBA SC
NUSU fainali ya pili ya maamuzi Kombe la Shirikisho Afrika iligota mwisho Aprili 27 2025 ilipokuwa Stellenbosch FC 0-0 Simba SC, Simba SC imetinga hatua ya fainali kwa jumla ya bao 1-0 ambalo walipata kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza Uwanja wa Amaan likifungwa na Jean Ahoua dakika ya 44. Hizi hapa dakika 90…