
VITA YA MABINGWA NA WAJELAJELA
INGEKUWA ni mchezo wa Ligi Kuu Bara tungesema ni tatu zinasakwa ndani ya tatu kwa wababe wawili ambao watavuja jasho ndani ya dakika 90. Bahati nzuri ni hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation ambapo yule atakayetunguliwa inakuwa ni kwaheri ya kuonana wakati ujao. Ni vita ya mabingwa watetezi Yanga chini ya Kocha…