
AZAM FC YAIPIGA 5 G KMC, YASHIKILIA USUKANI
MATAJIRI wa Dar Azam FC ni namba moja katika msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 25 baada ya kucheza mechi 13 wanafuatiwa na Yanga nafasi ya pili pointi 24 baada ya kucheza mechi 9. Desemba 7 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 5-0 KMC. Ni Prince Dube dakika ya 23…