
SIMBA KUIMULIA YANGA VINGINE
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa kesho. Simba wanaingia katika mchezo huu wakiwa wamecheza mchezo mmoja tu wa Ligi Kuu Bara…