
PAMBA JIJI KAMILI KUIKABILI SIMBA SC
Fred Felix Kocha Mkuu wa Pamba Jiji ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu wa mchezo wao dhidi ya Simba SC ila wana imani kuwa hawatashuka daraja. Ni mechi 26 imeshuka uwanjani Pamba Jiji ina pointi 27 ikiwa nafasi ya 13 katika msimamo ambayo ni nafasi yakucheza play off ikiwa itasalia hapo mpaka mzunguko wa pili ukigota…