
NDANI YA WIKI MBILI UWANJA WA MKAPA UTAKUWA TAYARI KUCHEZEWA FAINALI
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amemuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kuhakikisha maeneo muhimu ya uwanja huo yanakamilika ifikapo Mei 10, 2025. Ametoa maelekezo ya ukarabati wa miundombinu mingine muhimu ndani ya uwanja huo, ikiwemo kukamilisha sehemu ya benchi la ufundi la waamuzi kwa kuweka mataili, kuweka…