
YANGA SC VS SIMBA SC, JUNI 25, PACOME NA AHOUA KWENYE VITA
JUNI 25 2025 ni Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili msimu wa 2024/25. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 79 wanakutana na Simba SC nafasi ya pili na pointi 78. Kwenye eneo la viungo kuna vita kubwa ya namba kwa wachezaji. Ipo hivyo katika eneo la ulinzi ambapo…