Arsenal kusitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda
Arsenal wametangaza kusitisha mkataba wa udhamini wa klabu hiyo wa miaka minane na Visit Rwanda mwishoni mwa msimu wa 2025-26. Ubia huo ulianza mwaka wa 2018 na mkataba wa sasa unaripotiwa kuwa na thamani ya zaidi ya £10m ($13.3m) kwa mwaka. Lakini imekuwa chini ya uangalizi baada ya kuongezeka kwa ghasia katika eneo la mashariki…