
REBECCA REFA MWENYE REKODI YAKE EPL
REBECCA Welch, ameweka rekodi ya kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kuchezesha mechi ya Premier League, alifanya hivyo katika mchezo baina ya Fulham dhidi ya Burnley, Jumamosi iliyopita. Welch kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na soka la wanaume, ambapo kwanza aliweka rekodi ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa kike kuchezesha mechi ya EFL, Aprili 2021, kisha…