
WATUMISHI WAASWA KUJIANDAA MAPEMA KABLA YA KUSTAAFU
WATUMISHI wa magereza wameshauriwa kuwekeza kwa busara katika sekta mbalimbali wakiwa bado kazini, ili kujihakikishia maisha mazuri na endelevu baada ya kustaafu. Ikumbukwe kwamba kuna uwekezaji kwenye sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na michezo ambayo wapo wamiliki wa maduka ya vifaa vya michezo wanatengeneza mkwanja humo huku wakiwa wanaendelea na kazi pamoja na fursa mbalimbali…