
MABEKI SIMBA KWENYE MTEGO HUKO
MABEKI wa Simba chini ya kiongozi wao Henock Inonga, Che Malone , Kenedy Juma wameingia kwenye mtengo kwa kuambiwa kwamba wanapaswa kutimiza majukumu yao na kuzuia kufungwa mabao. Timu hiyo kwenye mchezo wa mwisho kwa 2023 dhidi ya KMC ilikwama kukomba pointi tatu na kugawana mojamoja dhidi ya KMC kutokana na kufungwa bao la jioni…