MASTAA YANGA WAPEWA ONYO

MASTAA wa Yanga ambao walifunga 2023 kwa kujenga ushikaji na benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wamepewa onyo na benchi la ufundi kuhakikisha kwamba wanatumia vema nafasi watakazopewa. Ipo wazi kwamba Skudu Makudubela, Cripin Ngushi, Denis Nkane, Jesus Moloko, Jonas Mkude, Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari hawakuwa na nafasi ya kuanza mara kwa mara kikosi…

Read More

LEGEND MKUDE ASEPA NA TUZO

LEGEND Jonas Mkude alipewa kitambaa cha unahodha katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya KVZ. Baada ya dakika 90 Januari 4 ubao ulisoma Yanga 0-0 KVZ wakigawana poiñti mojamoja ambapo Yanga inafikisha pointi 7 kibindoni. Mkude alipewa tuzo ya mchezaji aliyeonesha mchezo wa kiungwana ambapo ni zawadi ya laki mbili alipata kutoka kwa…

Read More

YANGA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU

INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji ambalo halijapata mbadala sahihi baada ya kusepa kwa Fiston Mayele. Kasi ya Yanga kwa sasa kwenye ufungaji sio yakubeza lakini inaongozwa na viungo washambuliaji. Ni Aziz KI huyu…

Read More