AMEACHA BALAA HUKO CAF PACOME/MUDA

MWAMBA Pacome katika Ligi ya Mabingwa Afrika ameacha balaa huku wapinzani wao Medeama wakiwa wamefungwa mabao mawili na nyota huyo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel kibindoni ina pointi tano ikiwa nafasi ya pili kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katika kundi D

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI KMC

ABDELHAK Benchikha, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna ari kubwa kwa wachezaji wa timu hiyo katika kutimiza majukumu jambo ambalo linaongeza nguvu katika kutafuta matokeo uwanjani. Simba inatarajiwa kukaribishwa na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Azam Complex, Desemba 23 ikiwa ni mzunguko wa kwanza. Mchezo wa ligi uliopita ubao wa…

Read More

SAMSUNG A32 KUTOLEWA KWENYE PROMOSHENI YA SIKUKUU YA MERIDIANBET

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet msimu huu wa sikukuu wamejitokeza na Promosheni ya kibabe kabisa ambapo imewaangukia wachezaji wa michezo ya Sloti ambayo ipo ndani ya Kasino ya Mitandaoni. Promosheni hii kama ilivyoelezwa itakua inahusisha wateja wanaocheza Sloti ambayo ni sehemu ya michezo ya Kasino Mitandaoni, Huku mshindi akijishindia Samsug A32, mshindi…

Read More

SIMBA NA KMC ZAPIGANA MKWARA WA POINTI TATU

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara Desemba 23 Uwanja wa Azam Complex wababe kutoka Dar wamepigana mikwara. Ni KMC watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Abdihamid Moallin Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wanatambua ugumu uliopo lakini wanapaswa kuamini kwamba watapata…

Read More

KOCHA KAGERA SUGAR AKUTANA NA MKONO WA ASANTE

UONGOZI wa Kagera Sugar umeweka wazi kuwa umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Mecky Maxime aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Maxime mchezo wake uliopita ilikuwa ni Desemba 21 ambapo alishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 0-4 Azam FC. Unakuwa ni mchezo wa tatu kupoteza baada ya kuanza kushuhudia Coastal Union 1-0…

Read More

YANGA YAPIGA HESABU NDEFU BONGO

HESABU ndefu za Yanga ndan kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi kiujumla akiwa katupia mabao 9 kibindoni…

Read More

AZAM FC YAZIDI KUPETA BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezidi kupeta kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kuendeleza kasi ya ushindi kwenye mechi ambazo wanachea. Desemba 21 ikiwa ugenini iliibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao Kagera Sugar. Pointi tatu walizopata Azam FC dhidi ya Kagera Sugar zinawazidi kuwafanya wajikite nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi…

Read More

AMEACHIWA HUKUMU BOSI HUYU KUHUSU LUIS

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kwa sasa ambacho kinatajwa ni majadiliano na benchi la ufundi pamoja na mchezaji mwenye kama atarejea kwenye ubora

Read More

YANGA KUFANYA KAZI KUBWA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi…

Read More

SIMBA MATUMAINI KIBAO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Ndoto ya kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ni ndoto ambayo klabu ya Simba wamekua wakiiota kila siku, Lakini ilionekana kuingia wasiwasi kutokana na mwanzo wao katika michuano hiyo msimu huu. Baada ya ushindi wa mabao mawili kwa bila walioupata katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumanne umeibua matumaini upya kwa klabu…

Read More

ONANA WA SIMBA ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake ndani ya kikosi ni sababu iliyowapa nguvu wakashinda. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Wydad Casablanca na mabao yote yalifungwa na Onana. Onana alifunga mabao hayo akitumia…

Read More

NAMUNGO WANA JAMBO LAO HUKO

UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga…

Read More