
GAMONDI ASHUSHA STRAIKA WA BILIONI 2 YANGA *AWATULIZA MASHABIKI, AMTAJA AZIZ KI
MWANDISHI WETU KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ili Yanga imalize tatizo la straika ndani ya kikosi hicho, wanapaswa kumnunua mchezaji wa eneo hilo mwenye thamani ya shilingi bilioni 2.5. Gamondi ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa maswali mengi juu ya uwezo wa washambuliaji wa Yanga katika kufunga mabao ambapo hivi sasa timu…