
???????? MAPINDUZI: YANGA KUCHEZA NA KVZ LEO USIKU
? #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC ? 04.01.2024 ? Amaan, Zanzibar ? 2:15 Usiku
? #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC ? 04.01.2024 ? Amaan, Zanzibar ? 2:15 Usiku
Hawavutii tena kuwatazama Hawana mchezaji tishio hata anayevutia sokoni Hawashiriki Ligi ya Mabingwa Africa Hawana mchezaji hata mmoja timu ya taifa… WAPO KATIKA KIPINDI CHA MPITO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa watawashtua wengi kwa mashine za maana watakazoshusha kupitia usajili wao wa dirisha dogo ambao umelenga kuboresha kikosi hicho kwenye mechi za ushindani. Ipo wazi kwamba 2023 Simba ilifunga kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma KMC 2-2 Simba na mabao yalifungwa na Saido Ntibanzokiza na Jean Baleke…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), ameteua Kamati Maalum kwa ajili ya hamasa kwa timu za Taifa zilizofuzu mashindano mbalimbali ya Kimataifa. Kamati hii inaundwa na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu pamoja na Wajumbe 16. Kamati hii itakuwa na jukumu la kuhamasisha washabiki na wapenzi wa michezo ndani na nje ya nchi…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Ulaya, Ndugu Nasser Bin Ghanim Al-Khelaifi, Jijini Paris Nchini Ufaransa, jana Januari 3, 2024. Eng Hersi alipewa mualiko maalum kutoka Kwa ndugu Nasser Bin…
Hii ni kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, mambo mazuri yamekuja kwaajili yao pale Meridianbet kuna mchezo wa sloti ambao utakupeleka mahali usiotarajia. Karibu kwenye Taverna ya Kigiriki pembezoni mwa fukwe za bahari. Utapata kufurahia vyakula vya baharini, na baadhi ya vyakula hivyo vitakuletea faida kubwa. Zorbas Tavern ni mchezo wa sloti ya…
BONDIA Hassan Mwakinyo ametoa maneno ‘mbofumbofu’ kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona ‘piko’ anazojichora bondia huyo. Huo ni mkwara kwa moja ya mabondia Bongo ambao wana michoro kwenye miili pamoja na kuwa na umbo kubwa. Mkwakinyo karusha jiwe gizani ambapo hajamtaja bondia ambaye wamekuwa wakiingia kwenye vita ya…
KADRI kila siku zinavyozidi kwenda wachezaji wanatambua namna ushindani ulivyo mkubwa kwenye mashindano husika. Ipo wazi kwa namna ambavyo mashindano yanazidi kuendelea hapo ndipo ugumu wake unaongezeka. Hatua moja inaleta hatua nyingine ambacho kinatakiwa kufanyika ni kwa kila hatua kuwa na mipango makini ambayo italeta matokeo mazuri hapo kesho. Ipo wazi kwamba ambacho kipo mbele…
UKIITAJA Tandale basi utapewa zile habari za mwamba Nassib Abdul ambaye jina lake maarufu anaitwa Diamond kuwa yeye hapo ndio maskani yake na muziki wake ulianzia hapo mpaka leo katusua kitaifa na kimataifa. Vipaji vingi vipo Nyanda za Juu Kusini pia ambapo ukiigusa mitaa ya Njombe Mjini mitaa ya Mpechi kuna Christopher Muhagama…
UKURASA mwingine tena unafunguliwa baada ya 2023 kugota mwisho na sasa ni 2024 ambapo mapambano yanaendelea kwenye kila idara ikiwa ni pamoja na ulimwengu wa mpira. Happy New Year 2024 na mastaa waliofanya kazi kubwa kwenye kusaka rekodi namna hii:-
KWENYE mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi 2024 Yanga wamezidi kupeta baada ya kupaa ushindi kwa mara nyingine tena. Walianza na funga 2023 Desemba 31 ubao uliposoma Jamhuri 0-5 Yanga wakakomba pointi tatu na kete ya pili fungua Januri 2024 ilikuwa Januari 2 2024. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma…
STARAIKA AFCON mlangoni Yanga, Benchikha atembeza mkwara Simba ndani ya Championi Jumatano
Meridianbet inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama mandhari kuu ya sloti hii, na utataka kuwa na idadi kubwa ya hawa Tiger kwenye nguzo. Ikijumlishwa na bahati kidogo, itakuletea faida kubwa. Chinese Tigers ni mchezo wa sloti uliotengenezwa na mtayarishaji wa michezo Platipus….
Una nafasi kubwa ya kuanza mwaka wako kibingwa na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa leo wewe mteja wao una nafasi kuufungua mwaka kwa shangwe. Kunako ligi kuu ya Hispania leo itapigwa michezo kadhaa ambayo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe pale Meridianbet, Hivo mabingwa hao wa…
KIUNGO wa Simba Luis ambaye kiwango chake kimeporomoka kutokana na kutocheza kwa muda mrefu inaelezwa kuwa yupo kwenye mpango wa kuwekwa kando. Inatajwa kwamba Simba mpango wao ni kumtoa kwa mkopo kwenye moja ya timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara
AGGY Simba ameweka wazi kuwa miongoni mwa wanaopenda kuona Clatous Chama anabaki ndani ya kikosi cha Simba ni watani zao wa jadi jambo ambalo linajulikana sababu. Aggy Simba ameweka wazi kuwa wanawachezaji wazuri ambao wanapewa nafasi na usajili ambao unafanyika kwa sasa hivyo watafanya usajili mzuri ambao utakuwa imara
JANUARI 2 2024 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imewasili salama jijini Cairo, Misri kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na Afcon 2023. Mashindano hayo makubwa yanatarajiwa kuanza Januari 13 hadi Februari 11 nchini Ivory Coast. Taifa Stars imepangwa kundi “F” ikiwa na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…