MUUAJI WA YANGA AFUNGUKA HAYA

MUUAJI wa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Offen Chikola amesema kuwa furaha kubwa kupata pointi tatu mbele ya timu kubwa kutokana na mchezo wao kuwa mgumu mwanzo mwisho ndani ya uwanja. Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi imepoteza mchezo wa pili ikiwa nyumbani msimu wa 2024/25 ambazo ni dakika 180. Baada ya…

Read More

AZIZ KI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

 IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa msimu ujao wa 2022/23. Nyota huyo alikuwa anapigiwa hesabu pia na Simba ambayo kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola baada ya Pablo Franco kuchimbishwa ndani ya kikosi hicho. Ni…

Read More

INJINIA HERSI ATOA AHADI NZITO

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amewataka mashabiki wa timu hiyo kujivunia timu yao, huku akitamka kuwa upo uwezekano mkubwa wa kupata ushindi wa mabao zaidi ya matano msimu huu watakapokutana tena na Simba. Jeuri hiyo imekuja baada ya wikiendi iliyopita, Yanga kufanikiwa kuifunga Simba mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye…

Read More

MUSONDA AWATIBULIA MASTAA YANGA

MFUMO wa 4-4-2 anaotumia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kwa kuwachezesha washambuliaji wawili, huenda ukawavurugia viungo wa timu hiyo baadhi kujikuta wakisotea benchi katika michezo ijayo. Hiyo ni baada ya Yanga kufanikiwa kuipata saini ya mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu. Nabi amelazimika kutumia mfumo wa…

Read More

SIMBA YAPEWA PONGEZI NA YANGA KIMATAIFA

KASI waliyoanza nayo Simba katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemuibua Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amekubali mziki wa watani zao hao na kuwatakia kila la kheri katika safari yao ya kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kupitia mchezo wao wa marudiano dhidi ya C.D de Agosto ya Angola. Jumapili iliyopita…

Read More

YANGA: LIGI BADO MBICHI KABISA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado ligi ni mbichi wana muda wa kuendelea kupambana katika kutimiza malengo yao ya kutwaa ubingwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi baada ya kutwaa msimu wa 2022/23. Ipo chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Gamondi baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi tano ni shuhuda…

Read More

RASMI:KOCHA MPYA SIMBA NI MSERBIA

RASMI leo Juni 28,2022 Klabu ya Simba imemtangaza,Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco ambaye alichimbishwa Mei 31,2022. Kocha huyo raia wa Serbia aliwahi kufundisha ndani ya kikosi cha Al Hilal ya Sudan hivyo ana uzoefu na soka la Afrika. Ana umri wa miaka 59 hivyo anakuja Tanzania kuendeleza…

Read More

SIMBA KUIKABILI BIG BULLETS

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema wananafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa nchini Malawi. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa Mgunda kukaa benchi baada ya kuibuka ndani ya Simba akitokea Klau ya Coastal Union. “Tunajua kwamba mchezo wetu utakuwa…

Read More

YANGA:IHEFU NI BORA KULIKO SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mchezo wa leo dhidi ya Ihefu ambao ni wa Kombe la Shirikisho ni bora kuliko ule wa Simba uliochezwa Jumamosi, Uwanja wa Mkapa na ngoma kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Thabit Kandoro,Mkurugenzi wa Mashindano ndani ya Yanga amesema kuwa wanakazi kubwa ya kufanya mbele ya Ihefu FC kwenye…

Read More

YANGA:MOTO HAUZIMI

NYOTA wa Yanga, Said Ntibanzokiza ameweka wazi kuwa moto wake ambao ameuwasha ndani ya ligi hautazima kwa kuwa anamalengo makubwa katika kutimiza majukumu yake. Kwenye mabao 12 ambayo yamefungwa na timu hiyo ametupia mabao mawili na yote ni kwa mapigo huru ilikuwa mbele ya Namungo alipofunga kwa penalti na mbele ya Mbeya Kwanza alipofunga kwa…

Read More

MAKI KWENYE KIBARUA KINGINE

 BAADA ya kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 2-1 Simba,kete ya kwanza kwa Kocha Mkuu,Zoran Maki kwenye ligi ni dhidi ya Geita Gold,utakaochezwa Jumatano, Uwanja wa Mkapa. Maki ana kibarua cha kuweza kuanza kusaka taji la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha…

Read More

NI SIMBA V AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

USHINDI wa mabao 2-0  walioupata Simba leo Januari 10 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan katika Kombe la Mapinduzi unawafanya waweze kutinga hatua ya fainali. Ni mabao ya Meddie Kagere dakika ya 14 na PapeSakho dakika ya 48 yametosha kuwapa ushindi Simba. Sasa Simba itakutana na Azam FC kwenye mchezo wa…

Read More

MAYANGA V KAGERE KWENYE VITA YAO LEO

LEO ni mwendo wa msako wa rekodi nyingine kwa nyota wawili ambao ni vinara wa utupiaji kwenye timu zao kati ya Vitalisi Mayanga wa Polisi Tanzania na Meddie Kagere wa Simba. Mayanga ni nyota wa kwanza kusepa na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba huku Kagere akiwa hajasepa na tuzo kwa msimu huu kati…

Read More