
MILIONI TANO YAPATA MWENYEWE MERIDIANBET
Bashiri na kitochi au bashiri bila bando na Meridianbet ikifahamika kama USSD leo imefanikiwa kutoa mshindi ambaye amejishindia mzigo wa kutosha ambapo mshindi amejipigia kiasi cha shilingi 5,982,539. Inafahamika kua Meridianbet inatoa fursa kwa wateja wake kubashiri kwa bando kwa maana ya kwenye tovuti yao lakini pia unaweza kubashiri bila bando na ndio USSD ambapo…