
CHAMA NA SIMBA NGOMA NZITO ISHU YA KUONGEZA MKATABA MPYA
NGOMA ni nzito kwa mabosi wa Simba dhidi ya kiungo mshambuliaji Clatous Chama kuhusu ishu ya kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo msimu wa 2023/24 alotupia mabao saba na pasi sita za mabao mkataba wake umegota mwisho na hajaongeza dili jipya kutokana na kinachoelezwa kuwa anahitaji mshahara wa zaidi ya milioni 30….