
BAADA YA KUFUNGA MWAKA KWA SARE, SIMBA YATOA TAMKO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utarejea kwenye wao kwa wakati mwingine ndani ya Ligi Kuu Bara 2023/24 kutokana na mwendo wao kuwa wa kusuasua. Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchkha imeufunga mwaka 2023 kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma KMC 2-2 Simba. Matokeo hayo yamemuibua Meneja wa Habari na Mawasiliano…