MECHI ZA FA NA COPA DEL REY KUKUPA MKWANJA

Mechi mbalimbali zinaendelea na tayari ODDS KUBWA zipo tayari kwenye app ya meridianbet hivyo ingia sasa na uanze kusuka mkeka wako wa maana hapa, Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kuanza kutengeneza pesa sasa. Raundi ya 4 kombe la FA Uingereza kuendelea hii leo  Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea…

Read More

TABORA UNITED YAAMBULIA 4G KUTOKA KWA SIMBA

WENYEJI Tabora United wakiwa Uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi wamekubali kupoteza pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ulikuwa ni kiporo. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tabora United 0-4 Simba wakikomba pointi tatu ugenini. Mabao ya Simba yamefungwa na Pa Omary Jobe dakika…

Read More

GAMONDI AMKOMALIA JOB

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ni lazima safu yake ya ulinzi kuhakikisha inakuwa kwenye mwendo bora kila wakati katika mechi za ushindani ili kuongeza nguvu ya kupata ushindi. Katika safu ya ulinzi ya Yanga chaguo namba moja kwa Gamondi ni Dickson Job beki mwenye rekodi ya kuwa mfungaji wa bao la…

Read More

SIMBA KUKABILIANA NA TABORA UNITED

KIKOSI cha Simba kina kazi ya kukabiliana na Tabora United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwiny. Simba imetoka kupata ushindi ugenini ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika uliposoma Mashujaa 0-1 Simba na bao likifungwa na Said Ntibanzokiza baada ya dakika 90. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

BENCHIKHA ATANGAZA POINTI 15 ZA UBINGWA

MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa juzi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ametamba kujipanga kuzoa pointi zote 15 za michezo yao mitano ijayo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwa mabingwa. Simba juzi Jumamosi ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao…

Read More

MICHEZO ISIYO YA KIUNGWANA ISIPEWE NAFASI

KILA siku tunashuhudia ushindani mkubwa kwenye mechi ambazo zinachezwa ndani ya uwanja wa kila timu kupambania kupata ushindi hilo ni jambo la msingi ambalo linapaswa kuwa endelevu. Wakati haya yanaendelea kumekuwa na tatizo la wachezaji  kuendelea kutumia nguvu nyingi na wakati mwingine kucheza faulo hata pale ambapo haihitajiki kabisa. Muhimu kuongeza umakini na kuendelea kucheza…

Read More

YANGA YAKAA NAMBA MOJA

YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao pekee la ushindi limefungwa na Mudathir Yahya dakika ya 86 akitumia pasi ya Kibabage. Wakali wote wawili walitokea benchi kipindj cha pili ambapo Dodoma Jiji walikuwa wanakaribia kupata pointi moja mpango ukavurugwa jioni. Mbinu…

Read More

TABORA UNITED YATUMA UJUMBE HUU SIMBA

UONGOZI wa Tabora United umesema kuwa hauna hofo na mchezo wao dhidi ya Simba ambao utakuwa wa ligi wapo tayari kuchukua pointi tatu kwa namna yoyte watakapokutana ndani ya uwanja. Ofisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema kuwa kikosi walichonacho pamoja na usajili mzuri waliofanya unawapa nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi zao zote…

Read More

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA TABORA UNITED

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Tabora United. Februari 6 Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Tayari viingilio kwenye mchezo huo vimewekwa wazi ikiwa ni 5,000…

Read More

FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2026 KUFANYIKA NEW JERSEY, MAREKANI

Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2026 zitafanyika kwenye Uwanja wa MetLife, katika jimbo la New Jersey, Marekani, waandaaji wa michuano hiyo, FIFA, walitangaza Jumapili. New York na New Jersey kwa pamoja ziling’ang’ania nafasi hiyo, huku zikikabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa Texas, ili kuwa wenyeji wa mchuano utakaofanyika tarehe 19, mwezi, kama kilele…

Read More