
SIMBA AKILI ZOTE KWA JWANENG
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema mpango mkubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundiilishuhudia ubao ukisoma ASEC Mimosas 0-0 Simba. Ndani ya msako wa pointi tatu wababe hao wote wawili waligawana pointi mojamoja…