
AZIZ KI REKODI ZAKE BONGO BALAA
AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga SC rekodi zake ndani ya timu hiyo ni balaa kutokana na kuwa miongoni mwa nyota waliotoa pasi nyingi za mabao kwenye mechi za ushindani akiwa na jezi namba 10. Ki ndani ya kikosi cha Yanga SC rekodi zinaonyesha kuwa ni mechi 114 alicheza akitoa jumla ya pasi 57 na…