
AMEREJEA SIMBA MKALI WA MABAO YA CAF
AMEREJEA ndani ya kikosi cha Simba mkali wa mabao kwenye anga la kimataifa kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 2 2024
AMEREJEA ndani ya kikosi cha Simba mkali wa mabao kwenye anga la kimataifa kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 2 2024
Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Ally amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga. Saleh ameendelea kuwaambia waandishi hao kuwa Chama ameipeleka Simba robo fainali mara kadhaa na amefanya makubwa sana kwa upande wa soka la…
Rais wa Shirikisho la soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ametangaza kuwa Rigobert Song, mkataba wake umetamatika rasmi. Uvumi wa kufukuzwa kwa kocha huyo ulivuma tangu kuondolewa mapema kwa Cameroon, bingwa mara tano wa Afrika, mikononi mwa Nigeria katika hatua ya 16 bora ya AFCON 2023. Rigobert Song ataondoka kwenye benchi la timu ya taifa,…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo Afrika Mashariki na Kati, Saleh Ally ameweka wazi kuhusu suala la mlinganisho wa miamba wawili Clatous Chama anayepambania majukumu yake ndani ya Simba pamoja na Pacome ambaye ni mali ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
AMEBAINISHA umafia ambao utafanyika kwa Simba kupambania nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
MSAFARA wa kikosi cha Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kimewasili salama nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hiyo inatarajiwa kuvaana na Waarabu wa Misri Al Ahly kwenye mchezo wa mwisho wa kundi D na timu zote zina uhakika wa kuwa ndani ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…
YANGA imeandika rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na mchezo mmoja mkononi dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Machi Mosi na tayari kikosi cha Yanga kimewasili nchini Misri kwa ajili ya mchezo huo. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kutinga robo fainali…
KLABU ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke. Dkt. Mwankemwa alianza majukumu yake Azam FC, mwaka 2008 na katika kipindi chote cha utendaji wake, amehusika kuwasindikiza wachezaji katika matibabu ya ndani na nje ya nchi. Mwankemwa aliingia katika udaktari…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Ahly ya Msiri unaotarajiwa kuchezwa Machi Mosi 2024 huku wakiwa kamili gado kuwafuata wapinzani wao kwenye mchezo huo. Ali Kamwe ambaye alipata changamoto ya kiafya muda mfupi baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa Jwaneng Galxy wapinzani wao wanawaheshimu lakini wamekuja katika hatua mbaya wataacha alama tatu na Mnyama anakwenda hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanajipanga upya kurejea kwenye ushindani baada ya kukosa matokeo kwenye mechi za hivi karibuni ndani ya Ligi Kuu Bara. Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United pamoja na mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons lakini ilishindikana kutokana na ushindani kuwa…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng uongozi wa Simba umebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na imani kubwa ni kupata ushindi wa aina yoyote kukamilisha mpango wa kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi haijaisha kwenye mechi za kimataifa hivyo wataendelea kufanya maandalizi kuwa imara kwa mechi zinazofuata. Yanga ni timu ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania kutinga hatua ya robo fainali ikiwa na mchezo mmoja mkononi huku watani zao wa jadi Simba wakiwa na kibarua Machi 2 kutambua hatma…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ni kupata ushindi mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo huo hivyo watapambana kupata ushindi. Tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar baada ya kumalizana na…
“Tarehe 2 ya mwezi wa tatu tunakwenda kushinda tena ushindi wa kihistoria na kwenda robo fainali. Jwaneng tunamheshimu lakini amekuja wakati mbaya.” “Tiketi zimeshaanza kuuzwa na niwakumbushe Wanasimba rekodi zote ambazo tuliziweka, ziliwekwa na Wanasimba wenyewe. Wakati tunamfunga AS Vita mara 2, wakati tunamfunga Horoya mabao 7 ushindi wote ulitokana na mashabiki wa Simba. Ili…
“Mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku. Licha ya mapendekezo yetu kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja.” “Kikosi kimerejea nchini na leo jioni tutaanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo Jwaneng Galaxy na mchezo wa ASFC dhidi TRA…