
HAWA HAPA WATAKUTANA NA YANGA/SIMBA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA
HAWA hapa watakutana na Simb/ Yanga kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika katika kusaka tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali
HAWA hapa watakutana na Simb/ Yanga kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika katika kusaka tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna taizo na mchezaji wao Prince Dube ambaye anahitaji kuondoka ni machaguo mawili anayo kuyafanya kwa sasa kuendelea na maisha yake ya soka bila tabu. Ipo wazi kwamba Dube ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24 kafunga jumla ya mabao saba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia ndani…
BAADA ya kukamilisha mwendo katika hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kituo kinachofuata ni mchezo wa Ligi Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi msimu wa 2023/24 ilikuwa dhidi ya Jwaneng Galaxy hawakuwa na chaguo lolote zaidi ya kushinda. Ushindi wa mabao 6-0…
AMEWAPOTEZA miamba wa Simba mwamba wa kazi Pacome kwenye mchezo waliokutana nao katika Karikoo Dabi Novemba 5 2023
BEKI wa kupanda na kushuka Henock Inonga ndani ya kikosi cha Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa ni mgeni rasmi alivuja jasho kinomanoma.
KLABU ya Arsenal imeweka rekodi mpya ya kufunga mabao mengi zaidi ndani ya Ligi Kuu England katika mechi saba mfululizo. Arsenal imefunga mabao 31 na kuipiku rekodi ya Man City iliyowekwa msimu wa 2017/18 ambapo ilifunga mabao 28. Arsenal pia imeandika rekodi mpya ya kuwa timu ya kwanza katika historia ya kushinda kwa mabao 5+…
Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na mchezo wa matunda-Blazing Heat utakaongeza vitamin ya maisha yako kutokana na maokoto mengi. Blazing Heat ni mchezo wa sloti wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na mtayarishaji Redstone. Hakuna cha kushangaza sana katika mchezo huu wa…
MUUAJI anayetabasamu Prince Dube ameomba kuondoka ndani ya kikosi cha Azam FC baada ya kuandika barua ya kuomba kuvunja mkataba wake. Dube ambaye amekuwa akiwatesa wababe wa Kariakoo hasa Simba amekuwa na zali la kuwafunga kila anapokutana nao kwenye mechi za ushindani amekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo kati ya Simba na…
Klabu ya Arsenal baada ya kuwa na mapito mbalimbali ya kutokuwa na nafasi nzuri ndani ya EPL hataimaye waliamua kumsajili aliyekuwa mchezaji wao Mikel Arteta ambaye mpaka sasa anakionoa kikosi hicho. Na haya hapa ndiyo mafanikio yake. Mikel Arteta alizaliwa 1982 mwezi Machi Hispania ambapo alicheza katika vilabu mbalimbali wakati akiwa kijana. Alicheza vilabu kama…
CLATOUS Chama kiungo wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota waliokuwa na siku nzuri kazini kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy na alifanya kazi kubwa akishirikiana na wachezaji wengine kutimiza majukumu ndani ya uwanja wa Mkapa.
MWAMBA Pacome Zouzoa kiungo wa Yanga aliwavuruga Waarabu wa Algeria CR Belouizdad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutokana na kasi yake na pasi za uhakika akitumia zaidi mguu wake wa kulia. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 4-0 CR Belouizdad katika mchezo…
SHIRIKISHO la mpira barani Afrika limetangaza kuwa litapanga hivi karibuni siku maalumu kwaajili ya kupangwa kwa tarehe maalum ya kufanyika droo ya kupata timu ambazo zitafanikiwa kukutana kwenye robo fainali. Tanzania imefanikiwa kuingiza timu mbili ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali. Timu nyingine ni pamoja na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Esparence Tunis ya…
Kasino ya Hot Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ndani ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari ya malipo 20 zilizofungwa. Ili kufanikisha ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana katika mfuatano sahihi. Kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni alama ya tunda…
KIUNGO mzawa mali ya Azam FC Feisal Salum MWENYE jumla ya mabao 11 katika orodha ya watupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara anazidi kuonyesha ubora wake kwa vitendo uwanjani. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Machi 3 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 4-1 Dodoma Jiji na Fe alitupia mabao mawili….
Mashetani Wekundu wamepasuka kwenye derby ya jiji la Manchester katika dimba la Etihad. FT: Man City 3-1 Man United ⚽ Foden 56’ ⚽ Foden 80’ ⚽ Haaland 90+1’ ⚽ Rashford 8’ ?Man City imesogea mpaka alama moja nyuma ya kinara Liverpool wakisalia nafasi ya pili alama 62 baada ya mechi 27. ?Man United wanasalia nafasi…
MIAMBA ya Yanga kwenye anga la kimataifa walipokabidhiwa jina la mchezo walifanya kweli na Yanga kupata pointi katika anga la kimataifa. Miongoni mwao ni Aziz KI, Pacome Day
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Mudathir Yahya amefichua siri kuhusu ushangiliaji wake kila anapofunga mabao ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.