
MECHI ZA LIGI KUU YA NBC WIKIENDI HII ZINAKUPA BONASI KUBWA
Wakati ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani wao wanakula upepo kwenye kilele cha Ligi Kuu ya NBC. Kila mtu Analia na kucheza ngoma kivyake. Wikiendi hii kuna michezo kadhaa ya Ligi kuu ya NBC itaendelea katika mikoa mbalimbali, Simba atakipiga na Wagosi…